Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Township Rollers katika mchezo uliopigwa Royal Bafokeng Sports Campus, Rustenburg
Simba ilitangulia kufunga bao la kuongoza kwenye dakika ya 57 kupitia kwa Meddie Kagere kabla ya Rollers kusawazisha kwenye dakika ya 70
Matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo huo (picha kwa hisani ya Township Rollers)










ADVERTISE HERE