Kakolanya aonyesha makali, adaka mkwaju wa penati mechi dhidi ya Rollers

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2019
Kakolanya aonyesha makali, adaka mkwaju wa penati mechi dhidi ya Rollers

Leo Simba imecheza mchezo wake wa tatu wa kirafiki dhidi ya Township Rollers huko Afrika Kusini na kulazimishwa sare ya bao 1-1

Katika kipindi cha kwanza, dakika ya 33 Rollers walipata mkwaju wa penati, lakini uhodari wa mlinda lango Beno Kakolanya uliiweka Simba salama baada ya kupangua mkwaju uliopigwa na Kitso Mpuisang

Simba ilikuwa bora kwenye umiliki wa mpira wakikaba kuanzia mbele pale wanapopoteza mpira

Ulikuwa ni mchezo wenye ushindani wa aina yake, kilikuwa ni kipimo kizuri kwa wachezaji wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’