Baada ya nyota saba wa Simba kurejea nchini kujiunga na kambi ya timu ya Taifa, wachezaji 19 wako Afrika Kusini wakiendelea na maandalizi ya msimu mpya
Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji hao wanaendelea na program za mazoezi chini ya kocha Patrick Aussems
Aidha Rweyemamu amethibitisha kuwa kesho Jumamosi Simba itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Township Rollers
Mchezo huo utapigwa saa nne asubuhi ambapo huku Tanzania itakuwa saa tano
ADVERTISE HERE