Rashid Juma aumia mazoezini Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jul 2019
Rashid Juma aumia mazoezini Afrika Kusini

Winga Rashid Juma amepata majeraha ya goti katika kambi ya Simba huko Afrika Kusini na huenda akawa nje kwa wiki mbili

Juma hajaonekana kwenye mazoezi ya Simba tangu juzi Jumanne

Meneja wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Rweyemamu amethibitisha kuwa winga huyo ni majeruhi

Mwenyewe amesema anaendelea na matibabu, madaktari wamemwambia atakaa nje kwa wiki mbili

"Kwa sasa naendelea vizuri baada ya kutibiwa, ni tofauti na nilivyokuwa nikijisikia juzi"

Simba inaendelea kujifua Afrika Kusini ambapo keshokutwa Jumamosi, itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Township Rollers, mabingwa wa Botswana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’