Mzee Kilomoni mbaroni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jul 2019
Mzee Kilomoni mbaroni

Mzee Hamisi Kilomoni leo amekutana na mkono wa sheria baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa kuitisha Mkutano na Waandishi wa habari nyumbani kwake bila ya kuwa na kibali

Kilomoni anadaiwa kuandaa Mkutano huo akipanga kuzungumza mambo yanayoihusu klabu ya Simba

Anashikiliwa kituo cha Polisi, Osterbay jijini Dar es salaam

Taarifa zaidi zimebainisha kuwa uongozi wa Simba ulilitaarifu Jeshi la Polisi na kuomba kuzuiwa kwa mkutano huo kwa kuwa unafanyika kinyume na utaratibu

Kwa sasa Mzee Kilomoni sio Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya klabu ya Simba, kuendelea kutumia cheo hicho anavunja sheria

Mzee Kilomoni pia anatumia logo ya klabu katika mikutano yake bila ya kupewa idhini na Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba

Aidha Kilomoni pia ameshitakiwa kwa Kamati ya Maadili ya TFF kutokana na jitihada zake za kutaka kuivuruga Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
32m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’