Mtaalam Simba abaini tatizo la Kapombe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jul 2019
Mtaalam Simba abaini tatizo la Kapombe

Beki tegemeo katika safu ya ulinzi ya Simba upande wa kulia Shomari Kapombe, amerejea kikosini baada ya kuwa nje ya dimba kwa zaidi ya miezi saba akisumbuliwa na majeraha ya goti

Kapombe yuko kambini Afrika Kusini na wachezaji wenzake akiendelea na maandalizi ya msimu mpya

Hata hivyo Mtaalam mpya wa viungo wa Simba Mjerumani Paul Gomez amebaini tatizo linalomsumbua Kapombe mara kwa mara hivyo kumpa program maalum ya mazoezi

"Niligundua tatizo moja kwa Kapombe eneo la kifundo cha mguu katika viungo. Tunaendelea na matibabu apone," Gomez amenukuliwa na Mwanaspoti

Mtaalamu huyo alisema amempa masharti Kapombe namna bora ya kucheza uwanjani ili kuepuka majeraha ya mara kwa mara

Msimu huu Kapombe anatarajiwa kurejea katika majukumu yake kikamilifu hata hivyo huenda akashirikiana na kiraka Erasto Nyoni upande wa kulia wakati ambao atakuwa akirejesha makali yake

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’