Simba yagawa dozi nyingine ya 4g kwa Platinum Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jul 2019
Simba yagawa dozi nyingine ya 4g kwa Platinum Stars

Mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Platinum Stars uliopigwa leo huko Afrika Kusini,  umemalizika kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara kuibuka na ushindi wa mabao 4-1

Mabao mawili yaliyofungwa na Clatous Chama,  bao la mkwaju wa penati lililowekwa kambani na Sharaff Shiboub na bao la Mzamiru Yassin yalitosha kuipa Simba ushindi wa pili wa mabao manne

Katika mchezo huo,  kocha Patrick Aussems aliwapa nafasi wachezaji wote

Mbelgiji huyo amesisitiza kuwa anatumia michezo hii ya kirafiki kuunda kikosi cha kwanza

Simba itacheza michezo mingine miwili dhidi ya Township Rollers (July 27) na Orlando Pirates (July 30) kabla ya kurejea nchini tayari kwa Simba Day August 06

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’