Nyota walioitwa Stars waondoka Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jul 2019
Nyota walioitwa Stars waondoka Afrika Kusini

Simba inaendelea na maandalizi ya msimu mpya huko Afrika Kusini ambapo leo itashuka tena dimbani kuumana na Platinum Stars

Hata hivyo kwenye mchezo wa leo Simba itawakosa nyota wake saba ambao wameondoka Afrika Kusini kurejea nchini kuungana na kambi ya timu ya Taifa

Wachezaji hao awali ilitaarifiwa kuwa wangeondoka jana, lakini kocha Patrick Aussems aliomba awatumie kwenye mchezo wa jana dhidi ya Orbit Tvet ambapo wote walipata nafasi kwenye kikosi cha kwanza na kuisaidia Simba kuibuka na ushindi wa mabao 4-0

Wachezaji walioondoka leo kurejea nchini ni nahodha John Bocco, Aishi Manula, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassan Dilunga na Ibrahim Ajib

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’