Baada ya kuichapa Orbit Tvet mabao 4-0 jana, leo Simba inashuka tena dimbani kuumana na Platinum Stars
Mchezo huo utaanza saa 5:30 asubuhi kwa saa za hapa Tanzania ikiwa ni saa nne na nusu huko Afrika Kusini
Baada ya mchezo wa leo, Β Simba itacheza michezo mingine miwili dhidi ya Township Rollers na Orlando Pirates
ADVERTISE HERE