Beki wa kati wa Simba, Salum Mbonde ameanza mazoezi mepesi akitarajiwa kurejea uwanjani baada ya kupona majeruhi yake ya goti aliyoyapata muda mrefu katika mechi ya ligi dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Mbonde tayari ameanza mazoezi ya Gym, ili kuongeza nguvu zitakazomwezesha kumudu mapambano na ushindani wa namba uliopo kwenye kikosi cha Simba
Mbonde amesema amejipanga kufanya mazoezi hayo kwa wiki nzima ili hadi ligi itakapoanza aweze kuwa fiti na kuendelea na kazi yake ya kulinda lango la Simba ambayo imepania kutwaa ubingwa wa Tanzania bara msimu huu.
Kurejea kwa Mbonde kunapunguza idadi ya majeruhi wa timu hiyo ukiachana na beki Shomari Kapombe na kipa Said Mohamed wanaoendelea na matibabu mpaka sasa.

ADVERTISE HERE