Aliyekuwa beki wa kulia wa Simba Zana Coulibaly amejiunga na klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Zana ametambulishwa na klabu hiyo leo baada ya kufuzu vipimo vya afya
Vita imemsajili Zana akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake uliokuwa umebaki na Simba kuvunjwa
Aliitumikia Simba kwa miezi sita tu kabla ya mashabiki wa Simba kukosa imani kwake
ADVERTISE HERE