Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Crescentius Magori leo ametembelea kambi ya timu hiyo Afrika Kusini kujionea maandalizi ya kikosi cha mabingwa hao wa Tanzania Bara
Jioni Magori alijumuika pamoja na wachezaji na benchi la ufundi katika chakula cha usiku kambini katika mji wa Rustenburg
Simba iko Afrika Kusini tangu wiki iliyopita ikiendelea na maandalizi ya msimu mpya

ADVERTISE HERE