Kikosi cha timu ya Wanawake Simba Queens bado kiko Ujerumani katika ziara ya wiki mbili ukiwa ni mualiko rasmi
Simba Queens imecheza michezo miwili ya kirafiki ambapo kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba, timu hiyo imeshinda mchezo mmoja na kutoka sare mmoja
Pamoja na kucheza mpira, wachezaji wa Simba Queens wanashiriki semina mbalimbali za kijamii ambazo zina lengo la kuwapa mbinu mbadala za kazi ambazo wanaweza kufanya nje ya maisha ya soka.
Watacheza michezo mingine miwili ya kirafiki itakayopigwa jiji la Berlin


ADVERTISE HERE