Kapombe arejea kikosini na mzuka kibao

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jul 2019
Kapombe arejea kikosini na mzuka kibao

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe amerejea kikosini baada ya kuanza mazoezi na wachezaji wengine huko Afrika Kusini

Kapombe amekuwa nje kwa zaidi ya miezi saba akisumbuliwa na majeraha ya goti

Baada ya kumaliza program binafsi ya mazoezi, Kapombe ameanza kujumuika na wachezaji wengine

Akizungumzia kambi ya Simba Afrika Kusini, Kapombe amesema wamefarijika na wanaushukuru uongozi wa timu hiyo kuwapeleka nchini humo kwenye kambi ambayo wanapata kila kitu

Amesema watakaporejea nchini watakuwa bora na amewaambia mashabiki wa Simba wasiwe na wasiwasi kwani mambo mazuri yanakuja

Kurejea kwa Kapombe kikosini ni habari njema kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara kwani wana uhakika huduma yake itarejea kama kawaida kwenye safu ya ulinzi upande wa kulia ambayo imekuwa na matatizo tangu alipoumia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’