Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameongeza mtaalam mwingine katika benchi lake la ufundi
Paulo Gomez Dardenne aliyetambulishwa jana, ni mtaalam wa tiba ya viungo
Uongozi wa Simba umethibitisha kuajiliwa kwa mtaalamu huyo ambaye tayari yuko Afrika Kusini kuungana na kambi ya mabingwa hao wa Tanzania Bara
ADVERTISE HERE