Zanzibar Heroes leo Jumapili inashuka kwenye Uwanja wa Kenyatta, Machakos kucheza mchezo wa fainali ya michuano ya CECAFA Chalenji dhidi ya wenyeji Kenya.
Zanzibar Heroes iliyokuwa haipewi nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye michuano hiyo imewashangaza wengi kwa kufanikiwa kuwatoa mabingwa watetezi Uganda Cranes katika mchezo wa nusu fainali.
Mchezo huo utaanza saa 9:30 Alasiri na utaonyeshwa mubashara na kituo cha televisheni cha Azam.
Huu ni mchezo wa pili katika michuano ya mwaka huu kuzikutanisha timu hizo, baada ya Desemba 9 katika mchezo wa Kundi A kutoka ya 0-0.
Kwenye mchezo wa leo kocha Hemed Suleiman Γ’β¬ΛMoroccoΓ’β¬β’ hatarajiiw kuwa na mabadiliko makubwa kutoka kikosi kilichowatoa mabingwa watetezi, Uganda
Ni Mwinyi Haji Mngwali pekee anayetarajiwa kurejea kwenye kikosi cha kwanza baada ya kukosa mchezo mmoja akitumikia kadi mbili za njano.

ADVERTISE HERE