Kambi ya Stars yaanza leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jul 2019
Kambi ya Stars yaanza leo

Wachezaji 26 wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' walioteuliwa na kocha Etienne Ndayiragije wameanza kuripoti kambini leo tayari kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya Kenya wa kusaka nafasi ya kucheza fainali za CHAN utakaopigwa Julai 28, uwanja wa Taifa

Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, Stars inatarajiwa kuweka kambi kwenye Hotel ya APC, Mbweni kujiandaa na mchezo huo

Wachezaji saba wa Simba ambao wako Afrika Kusini kwenye kambi ya mabingwa hao wa Tanzania Bara, watalazimika kurejea nchini kuungana na wenzao

Nyota wa Simba walioitwa kwenye kikosi cha Stars ni Aishi Manula, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassani Dilunga, Ibrahim Ajib na John Bocco

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’