Ujenzi wa uwanja wa Bunju ambao utatumiwa na Simba kwa ajili ya mazoezi umefikia pazuri baada ya zoezi la kuweka miundombinu kukamilika
Siku sio nyingi zoezi la kutandika nyasi bandia litaanza


Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema mpaka kufikia mwezi Oktoba, uwanja huo utakuwa umekamilika
ADVERTISE HERE