Jana Simba iliondoka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Stand United, Shiza Kichuya na Laudirt Mavugo wakiwa wafungaji wa mabao hayo.
Mavugo angweza kufunga mabao mawili kwenye mchezo huo kama bao lake moja lisingekataliwa kwa kudaiwa alikuwa ameotea.
Hata hivyo picha za video zinaonyesha Mavugo hakuwa ameotea na goli hilo lilipaswa kuwa halali.
Afisa Habari wa Simba amewaponda waamuzi wa mchezo huo kwa kukataa bao hilo lililokuwa halali.
Manara anayefahamika kwa kuwa mkweli wakati wote amedai matukio haya ya maamuzi mabovu hayapaswi kudekezwa kwenye awamu hii ya uongozi mpya wa TFF.

ADVERTISE HERE