Klabu ya Simba imethibitisha kuwa itacheza michezo minne ya kirafiki nchini Afrika Kusini ilikoweka kambi kabla ya kurejea nchini
Mchezo wa kwanza utapigwa siku ya Jumanne Julai 23 dhidi ya Orbit Tvet
Hii hapa ratiba kamili;

ADVERTISE HERE