Magori afunguka hatma za baadhi ya wachezaji Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jul 2019
Magori afunguka hatma za baadhi ya wachezaji Simba

Mtendaji mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema kuna wachezaji ambao bado wanamikataba na Simba lakini hawana nafasi ya kucheza kwa hiyo watatolewa kwa mkopo ili wakapate nafasi ya kucheza na kuimarisha viwango vyao.

Aidha, wapo pia ambao wameachwa baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Huu hapa mchanganuo wa wachezaji hao kama ulivyotolewa na CEO Magori;

"Marcel Kaheza alirudi tumemruhusu kwenda kwa mkopo kuna klabu ilimuhitaji"

"Mohamed Ibrahim tupo kwenye mazungumzo na Namungo FC anaweza kwenda huko kwa mkopo"

"Adam Salamba kuna timu ya South Africa imemuomba tumeshamruhusu"

"Paul Bukaba kuna timu mbalimbali zimemuomba moja wapo ipo South Africa, nyingine zaidi ya tatu zipo Tanzania yeye pia tutamruhusu wakati wowote"

"Mohamed Rashid alikuwa kwa mkopo KMC FC, tulikuwa kwenye mazungumzo na JKT Tanzania wapo tayari kumchukua kwa mkopo"

"Abdul Suleiman (alikuwa U20) kuna mazungumzo yanafanyika na timu mbalimbali kwa ajili ya kumchukua kwa mkopo lakini kunauwezekano pia akaenda Ulaya"

"Nicholas Gyan mkataba wake ulikuwa unamalizika mwezi August lakini tumekubaliana nae tumemuacha tumeshampa release letter"

"Zana Koulibaly pia tumekubaliana kuachana nae tayari tumempa release letter"

"Salim Mbonde mkataba wake umeisha, kwa sababu amekaa muda mrefu bila kucheza tumemshauri atafute timu nyingine ambayo haina presha kubwa kama Simba"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’