Furaha imetawala huko Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Jul 2019
Furaha imetawala huko Afrika Kusini

Simba inaendelea kujifua Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa michuano mbalimbali ikiwemo ligi Kuu, ligi ya mabingwa, kombe la FA na michuano mingine

Program za mazoezi za kocha Patrick Aussems zimekuwa na mafanikio kutokana na muitikio wa wachezaji

Inaelezwa Aussems amefurahishwa na usajili uliofanywa kwani viwango vya nyota wapya vimempa matumaini makubwa

Kumekuwa na ushindani mkubwa mazoezini ambapo kila mchezaji anataka kujihakikishia mapema nafasi kwenye kikosi cha kwanza

Kocha Aussems amewapa mtihani wachezaji baada ya kuwaambia kuwa mpaka sasa hana kikosi cha kwanza

Anatumia mazoezi yanayoendelea huko Afrika Kusini kuunda kikosi chake cha ushindi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’