Aina ya uchezaji wa mshambuliaji mpya wa Simba Dayo Domingues haitofautiani sana na aina ya uchezaji wa Shiza Kichuya.
Domingues amesajiliwa kwenye dirisha dogo la usajili akitokea klabu ya Ferreviarro inayoshiriki ligi kuu nchini Msumbiji.
Domingues hupendelea kushambulia akitokea pembeni hivyo kuwapa wakati mgumu walinzi wa timu pinzani.
Aidha mshambuliaji huyo ana siraha nyingine ambayo ni kasi.
Mbali na Domingues, Simba imewasajili Asante Kwasi na Jonas Sekuhawa.
Methodi Mwanjali, Gyan na Laudirt Mavugo wamewapisha wakali hao wapya.

ADVERTISE HERE