Nyota saba Simba kurejea Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jul 2019
Nyota saba Simba kurejea Dar

Wakati mazoezi ya Simba 'yakinoga' huko Afrika Kusini, wachezaji saba wa timu hiyo wanatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia kambini keshokutwa Jumapili, Julai 21 kuanza maandalizi ya mchezo wa kwanza wa kusaka tiketi ya michuano ya CHAN dhidi ya Harambee Stars utakaopigwa Julai 28 kwenye uwanja wa Taifa

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema benchi la ufundi liliandaa program maalum ambayo itawasaidia wachezaji hao kabla ya kurejea nchini

Wachezaji wanaotarajiwa kurudi Dar kuungana na kambi ya timu ya Taifa ni nahodha John Bocco, Aishi Manula, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Hassani Dilunga na Ibrahim Ajib

Wachezaji hao wataungana na kikosi cha Simba baada mchezo wa marudiano utakaopigwa August 04 nchini Kenya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
44m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’