Simba ni ya Kimataifa! Kama ilivyo kwa kaka zao ambao wako Afrika Kusini, wachezaji wa Simba Queens wao wako Ujerumani ambapo leo walipata nafasi ya kujifua nchini humo wakiwa na wenyeji wao
Wachezaji hao walifanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wa timu ya St. Pauli lengo likiwa kufahamiana na kubadilishana mbinu za soka
Mazoezi hayo yamefanyika mjini Hamburg



ADVERTISE HERE