Kikosi cha Simba leo kimeingia siku ya pili ya mazoezi yake nchini Afrika Kusini
Simba iliyotua Afrika Kusini juzi, ilianza na mazoezi mepesi kisha jana kufanya mazoezi ya uwanjani
Leo mabingwa hao wa Tanzania Bara wamepelekwa Gym kufanya mazoezi ya viungo kwa ajili ya kujenga miili ya wachezaji







ADVERTISE HERE