Kagere, Kahata wapata vibali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jul 2019
Kagere, Kahata wapata vibali

Nyota wa Simba waliobaki jijini Dar es salaam kutokana na kutokamilika kwa vibali vyao, wanatarajiwa kuondoka wakati wowote kuungana na wenzao huko Afrika Kusini baada ya changamoto hiyo kumalizwa

Simba ilisafiri kwenda Afrika Kusini bila nyota wake wanne waliobaki jijini Dar es salaam

Meddie Kagere, Francis Kahata, Deo Kanda na Sharaf Shiboub wote waliachwa jijini Dar es salaam

Jana Mtendaji wa Simba Crescentius Magori alisema mchakato wa vibali vyao ulikuwa katika hatua za mwisho

Simba ilianza mazoezi jana huko Afrika Kusini yakiwa ni maandalizi ya msimu mpya

Mabingwa hao wa Tanzania Bara wanatarajiwa kucheza michezo mitatu ya kirafiki

Mchezo wa kwanza utapigwa Julai 23

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’