Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya African Lyon kwenye mchezo wa kirafiki hapo jana, kikosi cha Simba kimepewa mapumziko ya siku mbili.
Wanatarajiwa kuendelea na mazoezi siku ya Jumatatu kujiandaa na mchezo wa kombe la FA dhidi ya Green Worriors unaopigwa Disemba 22.

ADVERTISE HERE