Simba kujifua Afrika Kusini kwa siku 17

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jul 2019
Simba kujifua Afrika Kusini kwa siku 17

Kikosi cha Simba kinaendelea na mazoezi huko Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara, ligi ya mabingwa pamoja na michuano mbalimbali

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema mabingwa hao wa Tanzania Bara watakuwa Afrika Kusini kwa siku 17

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Magori alisema Simba imejichimbia jiji la Rustenburg katika moja ya hotel maarufu ambayo iliwahi kutumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza mwaka 2010 kwenye michuano ya kombe la dunia

Awali Simba ilikuwa na mpango wa kwenda kuweka kambi Ureno au Marekani, hata hivyo Magori amesema walisitisha mpango huo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo suala la hali ya hewa na muda mfupi uliobaki kuelekea msimu mpya

Simba inatarajiwa kurejea nchini kati ya August 04-05 tayari kwa Tamasha kubwa la kila mwaka, Simba Day ambalo litafanyika uwanja wa Taifa August 08

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’