Simba yaomba hati nyingine Serikalini, Kilomoni ashitakiwa TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jul 2019
Simba yaomba hati nyingine Serikalini, Kilomoni ashitakiwa TFF

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Crescentius Magori amesema uongozi wa timu hiyo umeomba hati nyingine Serikalini baada ya ile ya kwanza kushikiliwa na Mzee Hamisi Kilomoni

Magori amesema mchakato wa kupatiwa hati mpya unaendelea na wakati wowote watakabidhiwa

Magori amesema tayari wamemchukulia hatua Mzee Kilomoni ambapo suala lake limepelekwa Kamati ya Maadili ya TFF

Aidha Magori ametoa ufafanuzi kuwa Mzee Kilomoni sio Mdhamini wa klabu ya Simba kama anavyojitambulisha

"Suala Mzee Hamisi kilomoni tumeamua kumpeleka kwenye kamati ya Maadili ya TFF, kuhusu hati tumeomba hati nyingine Serikalini na tunaipata baada ya ile moja kushikiliwa na kilomoni"

"Hapa karibu tumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu Kilomoni kuwa mdhamini wa klabu yetu ya Simba"

"Amekuwa akipita kwenye vyombo vya habari akieleza habari za klabu yetu."

"Kuanzia leo tunatangaza kuwa Mzee Kilomoni sio tena mdhamani wa Baraza la Simba na mkataba wake haupo tena, maana mkataba ulimalizika October 2017"

"Na kwa msisitizo zaidi maswala yake tumeyafunga leo hatutaliongelea tena swala lake, zaidi hatua za kisheria zitafuata."

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’