Baada ya kuwasili Afrika Kusini mapema leo, jioni kikosi cha Simba kilifanya mazoezi mepesi
Simba imeweka kambi katika jiji la Rustenburg
Mmoja wa viongozi walioambatana na Simba huko Afrika Kusini amesema program rasmi ya mazoezi itaanza kesho
ADVERTISE HERE