Saba Simba waitwa Stars kuivaa Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jul 2019
Saba Simba waitwa Stars kuivaa Kenya

Wachezaji saba wa timu ya Simba wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa wachezaji wa ndani ambayo Julai 28 itacheza na Kenya kusaka tiketi ya kucheza fainali za michuano hiyo

Wachezaji wa Simba waliojumuishwa kwenye kikosi hicho ni pamoja na Aishi Manula, Gadiel Michael, Erasto Nyoni, Jonas Mkude, Ibrahim Ajib, John Bocco na Hassan Dilunga

Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’