Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili salama Afrika Kusini kuanza maandalizi ya msimu mpya
Simba iliondoka jijini Dar es salaam leo Jumatatu saa nne asubuhi
Simba itakuwa jijini Johannesburg kwa takribani wiki tatu
ADVERTISE HERE