Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wanaondoka leo Jumatatu kuelekea Afrika Kusini ambako wataweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya
Kikosi cha Simba kiliwasili mapema asubuhi uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tayari kwa safari hiyo





ADVERTISE HERE