Sahauni kuhusu TP Mazembe, 'nitakinukisha' hapahapa Simba - Ajib

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jul 2019
Sahauni kuhusu TP Mazembe, 'nitakinukisha' hapahapa Simba - Ajib

Kiungo fundi wa mpira Ibrahim Ajib amesema amerejea Simba kufanya kazi ambapo amewaahidi mashabiki wa timu hiyo wakae mkao wa kula

Ajib alikuwa akihusishwa kutimkia TP Mazembe kabla taarifa za usajili wake kutua Simba kuvuja

Akizungumza jana kwenye Semina kwa wachezaji wa klabu ya Simba, Ajib alisema hakujiunga na TP Mazembe kwa kuwa Simba ilimpatia ofa nono zaidi

"Nawaahidi mashabiki wa Simba nitawapa furaha. Kuhusu TP Mazembe kule sikwenda kwa kuwa ofa yao ilikuwa ndogo kuliko ya Simba," alisema Ajib

"Niliondoka Simba kwa amani bila ya kugombana na mtu na ndio maana nimerejea nikiwa na furaha"

"Nitashirikiana na wachezaji wenzangu ili kuhakikisha tunatimiza malengo ya klabu yetu msimu huu"

Ajib ni miongoni mwa wachezaji wa Simba ambao leo wanakwea 'pipa' kwenda kambini Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’