Leo wachezaji wote wa Simba walikutana Sea Scape Hotel Mbezi Beach jijini Dar es salaam ambako kulikuwa na Semina maalum kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
Ilikuwa siku ya kwanza kwa kiungo fundi Ibrahim Ajib kujumuika na wachezaji wa Simba baada ya kuondoka klabuni hapo misimu miwili iliyopita
Pichani juu Ajib yuko pamoja na 'swahiba' zake Mohammed Hussein 'Tshabalala' na Said Khamis Ndemla
Hapo unaweza kusema sasa timu imekamilika!
ADVERTISE HERE