Simba imejijengea utamaduni wa kuwaandaa wachezaji wake kisaikolojia kabla ya kuanza maandalizi ya msimu mpya
Ndio maana kila mwaka uongozi unaendesha Semina maalum kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi ili wanapoanza maandalizi wafahamu malengo ya klabu
Semina hiyo imefanyika mapama leo hotel ya Sea Scape jijini Dar es salaam
Wachezaji wote waliosajiliwa na Simba walipata nafasi ya kuwasikiliza viongozi lakini pia wachezaji kupata fursa ya kufahamiana
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika semina hiyo;







ADVERTISE HERE