Tunataka ubingwa wa Afrika - Hanspoppe

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jul 2019
Tunataka ubingwa wa Afrika - Hanspoppe

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Zacharia Hanspoppe amesema malengo Makuu ya klabu ya Simba msimu ujao ni kushinda taji la ligi ya mabingwa barani Afrika pamoja na kutetea ubingwa wa ligi kuu

Poppe alikuwa mmoja wa watoa Semina kwa wachezaji na benchi la ufundi kwenye tukio lililofanyika Sea Scape Hotel mapema leo

Hanspoppe amesema Simba imefanya usajili makini ili kuhakikisha wanatimiza malengo waliyojiwekea

"Malengo yetu ya msimu ujao ni kutetea ubingwa wa Ligi Kuu na kushinda ubingwa wa Afrika ndio maana tumesajili wachezaji wenye viwango vikubwa, mjitume ili tufikie malengo," amesema

Simba inatarajiwa kuondoka kesho Jumatatu kuelekea Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’