Kiungo wa Kimataifa wa Kenya Francis Kahata ni miongoni mwa wachezaji waliowasili leo kwenye kambi ya muda ya Simba iliyowekwa Hotel ya Sea Scape jijini Dar es salaam
Kahata na wachezaji wengine waliosajiliwa na Simba msimu huu, leo wamegaiwa vifaa vya mazoezi tayari kwa kuanza maandalizi ya msimu mpya
Kesho Jumapili kutakuwa na Semina Maalum kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kabla ya safari ya Afrika Kusini
ADVERTISE HERE