Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba leo Jumamosi imefanya kikao kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya klabu
Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mohammed Dewji 'Mo' ambaye ndiye Mwekezaji wa klabu



ADVERTISE HERE