Simba imekamilisha kwa wakati usajili wa wachezaji wawili wa Kimataifa, beki Asante Kwasi na mshambuliaji Antonio Domingos kutoka nchini Msumbiji.
Sahihi ya Kwasi ilipatikana baada ya majadiliano ya masaa kadhaa na uongozi wa Lipuli.
Aidha Domingos amesajiliwa akitarajiwa kuchukua nafasi ya Laudirt Mavugo huku Kwasi akimuondoa nahodha Methodi Mwanjali.

ADVERTISE HERE