Simba yampa Gadiel 'ndinga' ya maana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Jul 2019
Simba yampa Gadiel 'ndinga' ya maana

Beki mpya wa Simba Gadiel Michael leo amewapa ujumbe wale waliokuwa wakihoji uamuzi wake wa kuikacha Yanga na kujiunga na mabingwa wa nchi, Simba

Gadiel ametinga Hotel ya Sea Scape akiwa na gari mpya kabisa aina ya Crown ambayo ameinunua baada ya kupata mkwanja wa maana kutokana na usajili wake wa kujiunga na Simba

Inaelezwa usajili wa Gadiel umeigharimu Simba Tsh Milioni 70 wakati Yanga walimpa beki huyo wa timu ya Taifa ofa ya Tsh Milioni 50

Gadiel ameungana na wachezaji wengine wa Simba ambao tayari wamewasili kuweka kambi ya muda Hotel ya Sea Scape kabla ya safari ya Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’