Simba kwenda Afrika Kusini Jumatatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2019
Simba kwenda Afrika Kusini Jumatatu

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wanatarajia kuondoka nchini Jumatatu Julai 15 2019 kuelekea Afrika Kusini kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara na michuano ya Kimataifa

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, timu itaingia kambini kesho Jumamosi, Julai 13 Sea Scape Hotel jijini Dar es salaam

Wakiwa kambini wachezaji na benchi la Ufundi watagawiwa vifaa vya mazoezi

Siku ya Jumapili, Julai 14 wachezaji na benchi la ufundi watapatiwa semina maalum kuhusu historia ya Simba, kanuni, miiko, desturi, nidhamu na malengo ya klabu msimu wa 2019/20

Jumatatu timu itaondoka nchini kuelekea Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’