Nyota wa kigeni Simba kutua Ijumaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jul 2019
Nyota wa kigeni Simba kutua Ijumaa

Wachezaji wa kigeni waliosajiliwa na Simba kwa ajili ya msimu ujao, wanatarajiwa kuanza kuwasili kesho Ijumaa tayari kuelekea kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya

Kocha Mkuu wa mabingwa hao wa Tanzania Bara mara mbili mfululizo Patrick Aussems alitarajiwa kuwasili nchini leo

Simba inatarajiwa kuondoka mwishoni mwa wiki kuelekea Afrika Kusini ambako itaweka kambi

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema maandalizi ya kambi hiyo yako tayari na mpaka kufikia Jumatatu, timu itakuwa imeondoka Dar

Kikosi cha simba kilichosajiliwa msimu huu ni pamoja na Kagere, Shiboub, Francis Kahata, Tairone santos da silva, Person Fraga Viera, Wilker Henrique da silva, Deo Kanda, Ibrahim Ajibu, Beno Kakolanya na Kennedy Juma.

Wachezaji wengine ni John Bocco, Pascal Wawa, shomari Kapombe, Erasto Nyoni, Aishi Manula, Clatous Chama, Jonas Mkude, Rashid Juma, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ Hassan Dilunga, Said Ndemla na Mzamiru Yassin.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’