Mashabiki Simba wasubiri 'sapraizi' ya mbadala wa Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Jul 2019
Mashabiki Simba wasubiri 'sapraizi' ya mbadala wa Okwi

Jana aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi alikamilisha usajili kunako klabu ya Fujairah Fc inayoshiriki ligi kuu falme za Kiarabu

Usajili huo ulihitimisha rasmi mazungumzo ya kuhuisha mkataba wake kunako klabu ya Simba

Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema usajili umeshakamilishwa kwa asilimia 95

Nafasi pekee ambayo wanatarajiwa kuiziba ni ya Okwi

Magori amesema mbadala huyo wa Okwi atakuwa 'sapraizi' kwa mashabiki wa Simba

Licha ya kutoweka wazi jina la mbadala huyo, tetesi zilizopo ni kuwa huenda akawa Walter Bwalya mshambuliaji kutoka Nkana FC

Kwa miezi kadhaa Bwalya amekuwa akihusishwa kusajiliwa na Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
43m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’