Simba yaitungua African Lyon 4-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Dec 2017
Simba yaitungua African Lyon 4-0
Simba imetakata kwenye dimba la Azam Complex, Chamazi baada ya kuilaza African Lyon mabao 4-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Ijumaa jioni.

Mabao ya Simba iliyocheza kandanda ya kuvutia yaliwekwa kimiani na Moses Kitandu, nahodha John Bocco aliyefunga mabao mawili na Kelvin Faru.

Simba inaendelea kuweka kikosi chake sawa kabla ya kuivaa Green Worriors katika mchezo wa kombe la FA, Disemba 22.

Simba pia itashuka dimbani Disemba 30 kucheza mchezo wa mzunguuko wa 12 ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Ndanda FC mkoani Mtwara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’