Mechi tatu za mwanzo Simba kupigwa uwanja wa Uhuru

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Jul 2019
Mechi tatu za mwanzo Simba kupigwa uwanja wa Uhuru

Simba itaanza kampeni ya kutetea ubingwa wake kwa msimu wa tatu mfululizo itakapoumana na JKT Tanzania, August 23 kwenye uwanja wa Uhuru

Lakini kabla ya mchezo huo, August 17 Simba itaumana na Azam Fc katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambayo utapigwa katika uwanja utakaofahamika baadae

Michezo mitatu ya mwanzo kwenye ligi yote itapigwa uwanja wa Uhuru kwani baada ya kucheza na JKT Tanzania, Septemba 17 Simba itacheza na Mtibwa Sugar katika uwanja huo huo kabla ya kuumana na Lipuli Fc Septemba 22 2019

Ratiba yote ya mzunguuko wa kwanza kuanzia kesho itapatikana kwenye ukurasa wa Ratiba katika App hii

Pia taarifa za wachezaji wote waliosajiliwa na Simba kwa ajili ya msimu ujao zitapatikana kwenye ukurasa wa Kikosi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’