Simba yatuma majina 25 CAF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2019
Simba yatuma majina 25 CAF

Simba imekamilisha awamu ya kwanza ya usajili kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao ambapo inaelezwa majina 25 yametumwa CAF

Usajili wa CAF unatarajiwa kufungwa keshokutwa Jumatano, Julai 10 2019 ambapo baada ya hapo kwa timu ambazo hazitakuwa zimewasilisha usajili zitatozwa faini

Majina yaliyotumwa CAF ni pamoja na makipa Aishi Manula, Benno Kakolanya na Ally Salim, huku mabeki wakiwa ni Erasto Nyoni, Pascal Wawa, Shomary Kapombe, Mohammed Hussein 'Tshabalala', Tairone Da Silva, Yusuf Mlipili, Gadiel Michael, Kennedy Juma na Gerson Fraga Vieira.

Viungo ni Msudan Shiboub Sharaf eldin, Francis Kahata, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Said Ndemla na Clatous Chama wakati washambuliaji wakiwa ni pamoja na nahodha John Bocco, Rashid Juma, Wilker Henrique da Silva, Ibrahim Ajibu, Deo Kanda, Miraj Athuman na Meddie Kagere.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’