Ligi Kuu kuanza August 23, Simba kufungua na JKT Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Jul 2019
Ligi Kuu kuanza August 23, Simba kufungua na JKT Tanzania

Ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza August 23 kwa mabingwa watetezi Simba kuumana na JKT Tanzania

Akizungumza na waandishi wa habari leo,  Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema kutakuwa na mchezo mmoja siku ya ufunguzi

August 28 Yanga itacheza na Ruvu Shooting wakati Azam na KMC zitashuka dimbani August 29

Mchezo wa kwanza kati ya Simba na Yanga  utapigwa Januari 04 2020 Simba ikiwa mwenyeji

Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Azam Fc utapigwa August 17 kwenye uwanja ambao utatangazwa baadae

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’