Kiungo Ibrahim Ajib ambaye amerejea Msimbazi akitokea klabu ya Yanga, huenda akaendelea kutumia jezi namba 10
Hii ni kwa sababu mshambuliaji Adam Salamba anatarajiwa kutolewa kwa mkopo moja ya timu zinazoshiriki ligi kuu Afrika Kusini
Kabla ya kuondoka Simba, Ajib alikuwa akitumia jezi namba 23
Hata hivyo fundi huyo wa pasi za mabao ameikataa jezi hiyo na kutaka aendelee kuvaa jezi namba 10
ADVERTISE HERE